Antofagasta
Mandhari
Antofagasta | |
Majiranukta: 23°39′00″S 70°24′00″W / 23.65000°S 70.40000°W | |
Nchi | Chile |
---|---|
Mkoa | Antofagasta |
Wilaya | Antofagasta |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 296,905 |
Tovuti: municipalidaddeantofagasta.cl |
Antofagasta ni jina la mji mkuu wa mkoa wa Antofagasta katika Chile. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2002, mji una wakazi wapatao 300,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 40 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kihispania) Tovuti rasmi
Makala hii kuhusu maeneo ya Chile bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Antofagasta kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |