António Marto
Mandhari
António Augusto dos Santos Marto (amezaliwa 5 Mei 1947) ni kiongozi kutoka Ureno wa Kanisa Katoliki. Alihudumu kama Askofu wa Leiria-Fátima kuanzia 2006 hadi 2022. Papa Francis alimpandisha cheo hadi kardinali tarehe 28 Juni 2018.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Gomes, João Francisco. "D. António Marto: "Representava melhor o diabo do que o anjo, ironia do destino"", Observador, 7 May 2017. (pt)
- ↑ Tornielli, Andrea. "Concistoro a giugno, ecco i nuovi cardinali di Francesco", La Stampa, 20 May 2018. (it)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |