Nenda kwa yaliyomo

Anna Valerian Komu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Anna Valerian Komu (Mjini Magharibi, Zanzibar, Tanzania, 15 Januari 1950 - Zanzibar, 28 Aprili 2026[1]) alikuwa mwanasiasa wa chama pinzani (CHADEMA) na Kaimu Mkurugenzi wa taifa wa idara ya wanawake ya Chadema. Kabla ya nchi kukubali mfumo wa vyama vingi alikuwa mwanachama wa chama tawala Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Katika Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2005 alikuwa mgombea mwenza wa Freeman Mbowe[2], lakini walishindwa.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/siasa/anna-komu-wa-chadema-afariki-dunia-5440254
  2. "Tanzania's Chadema party names Anna Komu as its new vice-presidential candidate", The Guardian (Dar es Salaam), 4 Novemba 2005, iliwekwa mnamo 9 Aprili 2010{{citation}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anna Valerian Komu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.