Anna Suszczynska

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Anna Suszczynska (alizaliwa 1877,Poznań - Agosti 1931)[1] alikuwa mtunzi wa muziki nchini Poland,[2] mwalimu wa kinanda na muziki ambaye alianzisha shule ya muziki huko Poznan na Binghamton, New York.

Suszczynska alizaliwa huko Poznan. Alisomea muziki katika chuo cha Klindworth-Scharwenka kilichopo katika mji wa Berlin na pia New York.[3][4]

Baada ya kujifunza muziki huko New York, Susczcynska alirudi Poznan kuanzisha shule ya muziki. Mwaka 1922,[1] alianzisha shule nyingine ya muziki huko Binghamton.[5] Susczcynska aliongozana na waimbaji kama soprano Minna Kaufmann Ruud[6][7] na waimbaji wengine.[7]Suszczynska alikufa huko Poznan mnamo Agosti 1931.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 Anna Suszcynska - Ancestry.com.
  2. Hixon, Donald L. (1993). Women in music : an encyclopedic biobibliography, Don A. Hennessee, 2nd, Metuchen, N.J.: Scarecrow Press. ISBN 0-8108-2769-7. OCLC 28889156. 
  3. (1917) The Musical Blue Book of America (in en). Musical Blue Book Corporation. 
  4. (1931) Poland (in en). Poland America Company. 
  5. Pinkowski Files - S.
  6. York, University of the State of New (1919). A Report of the Survey of the Binghamton School System (in en). University of the state of New York. 
  7. 7.0 7.1 (1917) The Music Magazine-musical Courier (in en). 
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anna Suszczynska kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.