Ann Henderson-Sellers
Mandhari
Ann Henderson-Sellers alizaliwa mwaka 1952 , profesa [1]wa idara ya mazingira na jiografia [2]katika chuo klikuu cha Macquarie,pia alikua mkurugenzi wa utafiti wa mabadiliko ya hali ya hewa duniani mnamo mwaka 2006, na mwaka 2007 alikua mkurugenzi idara ya mazingira katika ya ANSTO kuanzia mwaka 1998 mpaka 2005.
Pia amejaribu kuandika na kuchapisha vitabu tofauti tofauti vinavyoelezea mabadiliko ya tabia nchi na mazingira.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ University of Bristol. "Professor Ann Henderson-Sellers". www.bristol.ac.uk (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2023-05-23.
- ↑ Swinburne University of Technology Centre for Transformative Innovation. "Henderson-Sellers, Ann - Person - Encyclopedia of Australian Science and Innovation". www.eoas.info (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2023-05-23.
- ↑ ThriftBooks. "Ann Henderson-Sellers Books | List of books by author Ann Henderson-Sellers". ThriftBooks (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-05-23.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ann Henderson-Sellers kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |