Anjana Sultana
Mandhari
Anjana Sultana (27 Juni 1965 – 4 Januari 2025) alikuwa mwigizaji wa filamu kutoka Bangladesh.
Aliigiza zaidi ya filamu 300. Alishinda Tuzo ya Kitaifa ya Filamu ya Bangladesh kwa mwigizaji bora kwa nafasi yake katika filamu ya Parineeta mwaka 1986. [1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Actress Anjana Rahman Passes Away". Bd24live | Bangla Online News Portal (kwa American English). 2025-01-03. Iliwekwa mnamo 2025-01-03.
- ↑ "Anjana Rahman passes away at 59", The Daily Star, 4 January 2025. (en)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Anjana Sultana kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |