Anita Anand

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Anita Indira Anand (alizaliwa Mei 20, 1967). ni mwanasheria vilevile mwanasiasa Mkanada ambaye anatumikia kama Waziri wa Usalama tangu mwaka 2021. Amewahi kuwakilisha uendeshaji wa Oakville kwenye Bunge la Makabwela tangu uchaguzi wa mwaka 2019 akiwa kama mwanachama wa Liberal Party.

Kuanzia mwaka 2019 hadi 2021 alitumikia kama Waziri wa masuala ya Utumishi wa umma na Ugavi na manunuzi na alisimamia ugavi na manunuzi ya chanjo pamoja na vifaa vya kujikinga akati wa janga la UVIKO-19.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anita Anand kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.