Anil Madhav Dave

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Anil M. Dave

Anil Madhav Dave (6 Julai 1956 - 18 Mei 2017) alikuwa mwanamazingira na mwanasiasa kutoka India. Mwanachama wa Chama cha Bharatiya Janata, aliwahi kuwa Waziri wa Nchi anayeshughulikia Mazingira, Misitu na Mabadiliko ya Hali ya Hewa katika wizara ya Narendra Modi kuanzia Julai 2016 hadi wakati wa kifo chake Mei 2017.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anil Madhav Dave kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.