Nenda kwa yaliyomo

Andrea Gardini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Andrea Gardini

Andrea Gardini (alizaliwa Oktoba 1, 1965) ni kocha wa mpira wa wavu na mchezaji wa zamani kutoka Italia. Ana medali ya fedha (Atlanta 1996) na medali ya shaba (Sydney 2000) kwenye Michezo ya Olimpiki, pia ni bingwa wa dunia mara tatu (1990, 1994, 1998) na bingwa wa Ulaya mara nne (1989, 1993, 1995, 1999). Gardini alikuwa nahodha wa timu ya Italia kwenye Olimpiki za mwaka 2000. Alingizwa katika Hall of Fame ya Mpira wa Wavu mwaka 2007. Kuanzia msimu wa 2024–25, anahudumu kama kocha mkuu wa Olympiacos.[1][2]

  1. "Andrea Gardini nowym trenerem Skry Bełchatów". siatka.org (kwa Kipolandi). 1 Februari 2023. Iliwekwa mnamo 1 Februari 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Pallavolo Grecia – Andrea Gardini arriva sulla panchina dell'Olympiacos Pireo e lancia subito la sfida al campionato ellenico". iVolley Magazine (kwa Kiitaliano). 10 Mei 2024. Iliwekwa mnamo 10 Mei 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Andrea Gardini kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.