Andre Geim

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tuzo Nobel.png
Andre Geim

Sir Andre Konstantin Geim (amezaliwa 21 Oktoba, 1958) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Urusi aliyeshika uraia wa Uingereza na Uholanzi. Hasa amechunguza grafini. Mwaka wa 2010, pamoja na Konstantin Novoselov, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia. Mwaka wa 2012 alipewa cheo cha "Sir" cha Uingereza.

Tuzo Nobel.png Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Andre Geim kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.