André Mendonça
Mandhari
André Luiz de Almeida Mendonça (alizaliwa tarehe 27 Desemba mwaka 1972) ni wakili wa Brazil, mchungaji wa Presbyterian, na mwanasiasa ambaye kwa sasa yupo kama Justice of the Supreme Federal Court (Jaji wa Mahakama Kuu ya Shirikisho). André Luiz de Almeida Mendonça ni Mkristo wa kiinjili wa tatu kushika nafasi ya juu katika mahakama hiyo, na alikuwa Waziri wa Sheria na Usalama wa Umma na Mwanasheria Mkuu wa Muungano katika serikali ya Rais Jair Bolsonaro. Kabla ya kushika jukumu hili, alihudumu kama Attorney General of Brazil katika serikali hiyo hiyo.
Mendonça alikuwa wakili wa Brazil tangu mwaka 2000 na alikuwa msaidizi maalum wa Mdhibiti Mkuu wa Muungano Wagner Rosário kati ya mwaka 2016 na 2018.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu André Mendonça kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |