Anastasia Bliznyuk

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mwanamichezo wa Viungo Anastasia Bliznyuk
Mwanamichezo wa Viungo Anastasia Bliznyuk

Anastasia Ilyinichna Bliznyuk (kirusi: Анастасия Ильинична Близнюк, IPA: [ɐnəstɐˈsʲiɪ̯ə blʲɪˈzʲnʲuk];alizaliwa juni 28,) ni mwanamichezo wa viungo kutokea Urusi

Maisha binafsi[hariri | hariri chanzo]

Anastasia ni binti wa mcheza mpira wa miguu maarufu wa zamani Ilya Bliznyuk aliyekuwa akicheza katika timu ya taifa ya ukraini na alikuwa kocha mkuu wa FC Zirka Kirovograd.[1] Ana dada yake mkubwa anayeitwa Alexandra na mdogo wake wa kiume anayeitwa Vladimir.

Marejeo.[hariri | hariri chanzo]

  1. Unknown (2013-07-01). "VINERSTAN: The Bliznyuk family!". VINERSTAN. Iliwekwa mnamo 2021-11-30. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anastasia Bliznyuk kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.