Analía Almeida
Mandhari
Analía Almeida
Jinsia | mwanamke |
---|---|
Nchi ya uraia | Argentina |
Jina halisi | Analía |
Jina la familia | Almeida |
Tarehe ya kuzaliwa | 19 Agosti 1985 |
Mahali alipozaliwa | Argentina |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | Forward (association football) |
Mwanachama wa timu ya michezo | San Lorenzo de Almagro, Argentina women's national association football team |
Mchezo | mpira wa miguu |
Ameshiriki | 2008 Summer Olympics, 2007 FIFA Women's World Cup |
Analía Almeida (alizaliwa (19 Agosti 1985) ni mchezaji wa zamani wa kandanda wa Argentina.
Kazi ya soka
[hariri | hariri chanzo]Alikuwa ni sehemu ya timu ya taifa ya kandanda ya wanawake ya Argentina kwenye michezo ya Olimpiki mwaka 2008. Katika ngazi ya klabu alichezea klabu ya San Lorenzo de Almagro. [1]
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- FIFA.com
- http://www.lfpress.com/sports/soccer/2012/01/17/19257931.html Ilihifadhiwa 7 Machi 2012 kwenye Wayback Machine.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Analía Almeida kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |