Aminetou Mint El-Moctar
Mandhari
Aminetou Mint El-Moctar | |
Nchi | Mauritania |
---|---|
Kazi yake | Mwanaharakati na Mwanasiasa |
Aminetou Mint El-Moctar (alizaliwa [['Aminetou Mint El-Moctar', 13 Disemba 1956) ni mwanasiasa wa nchini Mauritania na mpambania haki za wanawake.
Aliorodheshwa kwenye Tuzo ya amani ya Nobel mwaka 2015 na ni mwanamke wa kwanza kuwekwa kwenye hizo tuzo.
Maisha ya mwanzo
[hariri | hariri chanzo]El-Moctar alikua katika familia ya hali ya juu yenye watoto nane. Alipofikisha miaka 11, baba yake aliandaa ndoa kwa ajili yake, ambayo alikuwa akiiwekea nguvu, japokuwa ndoa ilifanikiwa na mtoto wake wa kwanza alizaliwa alipokuwa na miaka 14[1].
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Aminetou Mint El-Moctar", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-02-12, iliwekwa mnamo 2022-02-21