Americo Gonçalves

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Americo Gonçalves
Amekufa 2 Agusti 2014
Nchi Angola
Kazi yake Mwandishi wa habari

Americo Gonçalves alifariki mnamo mwaka 2014 alikuwa ni mwandishi wa habari wa nchini Angola.[1]

Maisha[hariri | hariri chanzo]

Mwaka 1990 Gonçalves alianzisha gazeti la kila wiki la Angolense na A Capital.[1] Kama mhariri mkuu wa Angolense,mwaka 2000 yeye pamoja na mhariri mwingine walipatikana na hatia ya kumkashifu gavana wa jimbo katika magazeti yao walipatikana na hati na kutumikia adhabu kwa muda wa miezi mitatu.[2] Gonçalves alishinda tuzo yaMaboque Journalism Prize mwaka 2010 kutoka na mchango wake kwa waandishi wa habari wa Angola. Alifariki tarehe 2 Agosti mwaka 2014.


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Americo Gonçalves kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.