Amber Tysiak

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tysiak mnamo 2022

Amber Tysiak (alizaliwa 26 Januari 2000)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ubelgiji ambaye anacheza kama beki wa klabu ya West Ham United inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Ubelgiji.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "DPG Media Privacy Gate". myprivacy.dpgmedia.be. Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
  2. "Belgium - A. Tysiak - Profile with news, career statistics and history - Soccerway". int.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amber Tysiak kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.