Ambelau

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ambelau ni kisiwa cha Indonesia. Mji kubwa kabisa kisiwani ni Wailua. Mwaka wa 2009 idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 9600. Nusu ya watu wakaao kisiwani huku huongea lugha ya Kiambelau.

Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ambelau kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.