Amarula

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Amarula ni kinywaji chenye asili ya Afrika Kusini ambacho kilitayarishiwa katika Afrika ya Kusini. Kinywaji hiki kinatengenezwa kwa sukari, krimu na morula zilizochacha, matunda ya mng'ong'o (Sclerocarya birrea) ambao huitwa mti wa ndovu au mti ndoa pia huko Afrika Kusini. Imekuwa na mafanikio katika mashindano ya kimataifa ya vinyawji kali kushinda medali ya dhahabu katika mwaka wa 2006 katika shindano la dunia la vikali katika San Francisco.

Amarula iliuzwa kama kinywaji mwezi wa Septemba 1989, ambapo kikali cha Amarula kilizinduliwa mwaka wa 1983. [1] Iana ladha ya Karmeli yenye ladha kiasi ya matunda Amarula imepokea pongezi, kwa kuwa , kama vinywaji vyenye krimu, ni tamu mno. Kinywaji hiki kimechukua nafasi ya pili katika jamii ya vinywaji vyenye krimu baada ya Bailey pamoja na mafanikio hasa katika Brazili. [2] Ni maarufu sana na kawaida kote barani Afrika, hasa pwani ya kusini na mashariki. Hivi majuzi, Amarula imejaribu kuingia katika soko la Marekani. Kwa sasa inaagizwa na AV Brands Inc wa Baltimore, MD.

Tembo hufurahia kula matunda ya mti marula. Hadithi ya kawaida kwamba tembo hufurahia kula matunda yaliyoganda na kulewa. Utafiti , unaonyesha kuwa si kweli. [3]Kwa sababu uhusiano wa mti marula na tembo, watayarishaji wanatumia tembo kama alama na kusaidia katika harakati za kuhifadhi ,kuchangia katika Mpango wa Utafiti tembo wa Amarula katika Chuo Kikuu cha Natal, Durban. [4] Kwa jitihada katika masoko hutumia ishara ya tembo katika bidhaa zake. [5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Datta, P.T. Jyothi. "Capturing the taste of Africa", The Hindu Business Line, Kasturi & Sons, 7 Julai 2007. Retrieved on 2009-02-09. 
  2. Gugulakhe Masango, Gugulakhe. "Amarula gunning for top spot", Fin24.com, 5 Aprili 2007. Retrieved on 2009-02-09. Archived from the original on 2009-02-17. 
  3. Bakalar, Nicholas. "Elephants Drunk in the Wild? Scientists Put the Myth to Rest", National Geographic News, National Geographic Society, 19 Desemba 2005. Retrieved on 2009-02-09. 
  4. Preliminary results of the Pilanesberg Elephant Project. Elephant Projects. University of Natal. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-02-02. Iliwekwa mnamo 2009-02-09.
  5. "Amarula launches on-pack Win-an-Elephant promotion", TalkingRetail.com, Metropolis International Group, 19 Novemba 2007. Retrieved on 2009-02-09. Archived from the original on 2009-02-16. 

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]