Nenda kwa yaliyomo

Amanda Abizaid

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Amanda Jo Abizaid ni mwanamitindo, mwigizaji, na mwandishi wa nyimbo kutoka Marekani mwenye asili ya Lebanon. [1]Anajulikana zaidi kwa uimbaji wake wa wimbo wa mada wa mfululizo wa kisayansi wa televisheni The 4400 ulioonyeshwa kwenye USA Network/Sky One.[2]

  1. "The Reserve offers heavenly hangout for artists and nonartists alike". Your Observer (kwa Kiingereza). 2018-04-18. Iliwekwa mnamo 2022-12-31.
  2. Romano, Riccardo (2018-06-14). "Avete mai visto The 4400?". Hall of Series (kwa Kiitaliano). Iliwekwa mnamo 2022-12-31.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amanda Abizaid kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.