Benki ya Amana
Mandhari
(Elekezwa kutoka Amana)
6°48′49″S 39°17′21″E / 6.813611°S 39.289167°E
Makao Makuu | 2nd Floor, Golden Jubilee Tower, Ohio Street, Dar es Salaam, Tanzania |
---|
Amana Bank ni benki ya biashara katika Tanzania. Imesajiliwa na Benki Kuu ya Tanzania, inayosimamia na kudhibiti benki za kitaifa.[1]
Mahali
[hariri | hariri chanzo]Makao makuu na tawi kuu la Amana Bank yako katika Jubilee Tower, karibu na Garden Avenue, katika jiji la Dar es Salaam Tanzania. [2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Bank of Tanzania (30 Juni 2017). "Directory of Banks and Financial Institutions Operating in Tanzania as of 30 June 2017" (PDF). Dar es Salaam: Bank of Tanzania. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2018-01-27. Iliwekwa mnamo 8 Mei 2018.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Kigezo:Google maps
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Benki ya Amana kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |