Amalie Thestrup

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Amalie Thestrup.

Amalie Grønbæk Thestrup (alizaliwa 17 Machi 1995) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Denmark anayecheza kama mshambuliaji katika klabu ya Bristol City iliyopo Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na alishaichezea timu ya Taifa ya Denmark.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Amalie Thestrup skal fremover score mål for AS Roma". fodboldforpiger.dk. 16 July 2019. Iliwekwa mnamo 24 June 2020.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amalie Thestrup kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.