Nenda kwa yaliyomo

Amalia wa Yesu Aliyejalidiwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Amalia wa Yesu Aliyejalidiwa.

Amalia wa Yesu Aliyejalidiwa (alizaliwa kwa jina Amalia Aguirre Queija, 22 Julai 190118 Aprili 1977) alikuwa mtawa wa Kanisa Katoliki mwenye karama za pekee.

Alikuwa mwanzilishi mwenza wa shirika la Watawa Wamisionari wa Yesu Aliyesulubiwa, anayejulikana zaidi kwa kupokea, katika miaka ya 1930, mafunuo ya Mama Yetu wa Machozi huko Campinas, Brazil. Miongoni mwa matukio ya kimiujiza yaliyozunguka maisha yake ni pamoja na maono na madonda matakatifu ya mateso ya Kristo.[1][2][3][4]

  1. "Tear Love - History". www.tearlove.org. Iliwekwa mnamo 2023-03-01.
  2. "Visions of Jesus Christ.com - Amália Aguirre - Stigmatist". visionsofjesuschrist.com. Iliwekwa mnamo 2023-03-01.
  3. "Irmã Amália de Jesus Flagelado | A Estigmatizada de Campinas". www.nossasenhoradaslagrimas.com. Iliwekwa mnamo 2023-03-01.
  4. "Aparições à Irmã Amália Aguirre de Campinas". www.amen-etm.org. Iliwekwa mnamo 2023-03-01.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.