Alytus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alytus

Alytus ni mji nchini Lituanya. Ni mji mkubwa wa sita katika nchi wa Lituanya. Kuna wakazi 74,563 (mwaka 2009). Mji ulianzishwa 1581.

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Eneo lake ni 45 km².

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu "Alytus" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Alytus kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.