Alyssa Lagonia
Mandhari
Alyssa Ann Lagonia (alizaliwa 30 Juni, 1989) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu kutoka Kanada ambaye alikuwa kiungo kwa klabu ya Swiss Women's Super katika timu ya Servette FC Chênois Féminin na timu ya taifa ya wanawake ya Kanada.[1] [2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Kitchener native Alyssa Lagonia bids adieu to playing professional soccer", Waterloo Region Record, 5 July 2022.
- ↑ Lagonia at Servette Football Club Chênois féminin in Geneva (Switzerland)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Alyssa Lagonia kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |