Alwiya Gamil

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alwiya Gamil
Amezaliwa Alwiya Gamil
15 Desemba 1910
Lebanon
Amekufa 16 Agosti 1994
Misri
Jina lingine Elisabeth Khalil Majdalani
Kazi yake Mwigizaji
Miaka ya kazi 1925 hadi 1994
Ndoa Alioa

Alwiya Gamil alikuwa muigizaji wa nchini Misri mwenye asili ya Lebanon ambaye jina lake halisi lilikuwa Elisabeth Khalil Majdalani. Alizaliwa Lebanon mnamo Desemba 15, 1910 [1] na kuhamia Misri na wazazi wake.

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Gamil alianza safari ya uigizaji wake akiwa na umri wa miaka 15 alipojiunga na kikundi cha maonyesho cha "Youssef Wahbi" cha Ramesses mnamo mwaka 1925. Inaaminika kuwa Wahbi alimpa jina la kisanii. Gamil anajulikana kwa majukumu yake makuu katika Zeinab (1930), Victory of Youth (1941), na No Agreement (1961).[2] Alistaafu mnamo mwaka 1967.

Maisha ya kibinafsi[hariri | hariri chanzo]

Gamil alioa mara mbili. Ndoa yake ya pili ilikuwa mnamo mwaka wa 1939 na muigizaji wa Misri, Mahmoud el-Meliguy. Hawakuwa na watoto lakini walilelea watoto watatu kutoka kwa ndoa yake ya kwanza pamoja. Gamil alifariki mnamo mwaka Agosti 16, 1994.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeleo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alwiya Gamil kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

No