Alta Gerrey

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Alta Gerrey (alizaliwa mwaka 1942) ni mshairi, mwandishi, na mchapishaji wa nchini Marekani mwenye asili ya Uingereza[1]; anajulikana zaidi kama mwanzilishi wa vyombo vya habari vinavyotetea haki za wanawake vya Shameless Hussy Press na mhariri wa Shameless Hussy Review.[2]

Mchango wake wa mwaka 1980 katika The Shameless Hussy alishinda tuzo ya American Book Award mnamo mwaka 1981. Ameshirikishwa katika filamu ya historia ya wanawake ijulikanayo kama She's Beautiful When She's Angry.[3][4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Cathy N. Davidson; Linda Wagner-Martin; Elizabeth Ammons, wahariri (1995). The Oxford companion to women's writing in the United States. Oxford University Press. ISBN 978-0-19-506608-1. 
  2. Moore, Honor. "After 'Ariel': Celebrating the poetry of the women's movement", Boston Review, March–April 2009. Retrieved on 9 February 2012. Archived from the original on 2012-02-12. 
  3. "The Women". 
  4. "The Film — She's Beautiful When She's Angry". Shesbeautifulwhenshesangry.com. Iliwekwa mnamo 2017-04-28. 
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alta Gerrey kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.