Nenda kwa yaliyomo

Alois Alzheimer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alois Alzheimer

Aloysius "Alois" Alzheimer (14 Juni 1864 - 19 Desemba 1915) alikuwa daktari wa akili kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa anajulikana kwa kugundua ugonjwa wa Alzheimer.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alois Alzheimer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.