Nenda kwa yaliyomo

Allah Peliharakan Sultan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Allah Peliharakan Sultan ni Wimbo wa Taifa wa Brunei. Kiswahili: Mungu ambariki sultani.

Huimbwa kwa lugha ya kitaifa Kimalay. Wimbo ulitungwa mwaka 1947 na kufanywa wimbo la taifa kwa Brunei mwala 1951, wakati usultani huu bado ilikuwa nchi lindwa ya Uingereza.

Uliendelea kuwa wimbo wa taifa tangu uhuru mwaka 1984. Watoto wa shule huuimba kila asubuhi.

Alfabeti ya Kiarabu Kimalay kwa Alfabeti ya Kilatini Tafsiri

يا الله لنجوتكنله اوسيا
كباوه دولي يڠ مها مليا
عاديل بردولت منأوڠي نوسا
مميمڤين رعية ککل بهاڬيا
هيدوڤ سنتوسا نڬارا دان سلطان
الهي سلامتكن بروني دارالسلام

Ya Allah lanjutkanlah Usia
Kebawah Duli Yang Maha Mulia
Adil berdaulat menaungi nusa
Memimpin rakyat kekal bahagia
Hidup sentosa Negara dan Sultan
Ilahi selamatkan Brunei Darussalam

Ewe Allah umbariki mtawala
Kwa maisha marefu
Atawale milki kwa haki na kiadilifu
Aongoze taifa letu kwa furaha milele
Akae kwa amani sultani na milki
Mwenyezi Mungu, iokoe Brunei, nyumba ya amani

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Allah Peliharakan Sultan kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.