Alexandra Emilianov
Mandhari
Alexandra “Sasha” Emilianov (alizaliwa Septemba 19 1999) ni msichana mzaliwa wa Moldova, mrusha visahani, ambaye alishinda medali ya dhahabu mnamo mwaka 2015 katika Mashindano ya Dunia ya Vijana, na Mashindano ya IAAF ya Dunia kwa wenye umri wa chini ya miaka 20 mwaka 2018[1].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Alexandra Emilianov kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |