Nenda kwa yaliyomo

Alex Malinga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Alex Malinga (alizaliwa Kapchorwa, 1974) ni mwanariadha wa Uganda wa marathoni.[1] Alimaliza wa sita kwenye Mashindano ya Dunia mwaka 2005, katika rekodi ya kitaifa ya saa 2:12:12. Alishiriki pia katika Michezo ya Olimpiki mwaka 2000, akimaliza katika nafasi ya 57. Katika Mashindano ya Dunia mwaka 2007 alimaliza wa kumi na mbili.

  1. [hhttps://worldathletics.org/athletes/-/14229621 "Alex Malinga"].
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alex Malinga kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.