Aleksandr Golovin
Mandhari
Aleksandr Sergeyevich Golovin (alizaliwa 30 Mei 1996)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Urusi, ambaye anacheza kama kiungo katika klabu ya AS Monaco na timu ya taifa ya Urusi.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "La fiche technique d'Aleksandr Golovin, milieu de terrain de l'AS Monaco". AS Monaco (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2024-06-16.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Aleksandr Golovin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |