Nenda kwa yaliyomo

Alcide Marina

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Alcide Giuseppe Marina, C.M. (24 Machi 188717 Septemba 1950) alikuwa askofu wa Italia wa Kanisa Katoliki ambaye alifanya kazi kama mwalimu na mkuu wa Shirika la Wavinsenti hadi mwaka 1936 na baadaye katika huduma ya kidiplomasia ya Vatikani.[1]

  1. Rossi, Giovanni Felice (30 Oktoba 2018). "Mons. Marina, Alcide G." Roman Province of the Congregation of the Missions of Saint Vincent de Paul (kwa Kiitaliano). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-07-04. Iliwekwa mnamo 26 Agosti 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.