Alaverdi
Mandhari
Alaverdi (Kiarmenia: Ալավերդի, pia umepewa jina la Kirumi kama Alawerdy, Alaverdy, na Allaverdy; zamani uliitwa Manes) ni mji uliopo mjini kaskaini-mashariki mwa mkoa wa Lori huko nchini Armenia, siyo mbali na mpaka wa nchi ya Georgia. Mji huu wenye machimbo ya madini na viwanda wenye wakazi 13,225.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Official web site
- A brief description at Cilicia.com Ilihifadhiwa 3 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Armenia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Alaverdi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |