Nenda kwa yaliyomo

Kazi kwa watoto nchini Tanzania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kazi kwa watoto zimekuwa kawaida nchini Tanzania kwa mamilioni ya watoto hufanya kazi.[1].

Imekuwa kawaida kwa wasichana zaidi kuliko kwa wavulana.[2]. Wasichana hufanya kazi zaidi kama watumishi wa ndani, wakati mwingine kwa kulazimishwa.[1] Watoto maskini mara nyingi hujikuta katika unyanyasaji wa kingono kama biashara.[1].

Tanzania iliidhinisha Mkutano juu ya Haki za Mtoto mnamo mwaka 1991[3] na Mkataba wa Afrika juu ya Haki na Ustawi wa Mtoto wa mwaka 2003.[4], kisha kuweka sheria ya Mtoto, ya mwaka 2009[5] ili kusaidia kutekeleza hatua hiyo na kutoa utaratibu wa kuripoti kwa ukiukwaji wa haki za watoto, kwa msaada bila malipo yoyote, na huduma hii hupatikana nchini kote.[6]

  1. 1.0 1.1 1.2 "'2011 Findings on the Worst Forms of Child Labor – Tanzania" (PDF). U.S. Department of Labor. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo Oktoba 22, 2013. Iliwekwa mnamo 19 Februari 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Florence Kondylis; Marco Manacorda (Aprili 2010). "School Proximity and Child Labor Evidence from Rural Tanzania" (PDF). Professor Marco Manacorda, Queen Mary University of London. Iliwekwa mnamo 19 Februari 2014. {{cite journal}}: Cite journal requires |journal= (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Convention on the Rights of the Child". United Nations. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-02-11. Iliwekwa mnamo 19 Februari 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Ratification Table / African Charter on the Rights and Welfare of the Child". African Commission on Human and Peoples' Rights. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-08-20. Iliwekwa mnamo 19 Februari 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "The Law of the Child Act, 2009" (PDF). Parliamentary On-Line Information System. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 24 Februari 2014. Iliwekwa mnamo 19 Februari 2014. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. "welcome to C-Sema". C-Sema. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 3 Januari 2014. Iliwekwa mnamo 19 Februari 2014. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)