Aix-en-Provence

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Sehemu ya mji wa Aix-en-Provence
Aix-en-Provence
Aix-en-Provence is located in Ufaransa
Aix-en-Provence
Aix-en-Provence
Mahali pa mji wa Aix-en-Provence katika Ufaransa
Majiranukta: 43°32′0″N 5°26′0″E / 43.53333°N 5.43333°E / 43.53333; 5.43333
Nchi Ufaransa
Mkoa Provence-Alpes-Côte d'Azur
Wilaya Bouches-du-Rhône
Idadi ya wakazi
 - 142,534
Tovuti: www.mairie-aixenprovence.fr/
Blason ville fr Aix-en-Provence.svg

Aix-en-Provence ni mji wa Ufaransa katika mkoa la Provence-Alpes-Côte d'Azur. Iko 30 km kaskazini ya Marseille. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao 140,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 73-511 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]


Flag France template.gif Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Aix-en-Provence kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.