Nenda kwa yaliyomo

Ainhoa Vicente

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ainhoa Vicente Moraza (alizaliwa 20 Agosti 1995) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uhispania, ambaye anacheza kama beki katika klabu ya Atletico Madrid, inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake ya Uhispania, na timu ya taifa Uhispania.[1][2]

  1. "Spain - Ainhoa Moraza - Profile with news, career statistics and history - Soccerway". int.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2024-09-21.
  2. UEFA.com. "The official website for European football". UEFA.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-09-21.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ainhoa Vicente kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.