Ahymara Espinoza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ahymara del Carmen Espinoza Echenique (alizaliwa Río Chico, Miranda, 28 Mei 1985) ni mwanariadha kutoka Venezuela aliyebobea katika mchezo wa kurusha vitu vizito. Aliiwakilisha nchi yake mwaka 2013 katika Mashindano ya Dunia,lakini hakupita kwenye fainali.

Rekodi zake[hariri | hariri chanzo]

Rekodi yake nzuri ni ile ya mita 18.19 ya seti, akiwa Rio de Janeiro, Brazil mwaka 2016. Ambayo hii ni rekodi ya Taifa kwa ujumla.

  • Mrusho: mita 18.19 –  Rio de Janeiro, 15 Mei 2016


Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ahymara Espinoza kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.