Ahmet Davutoğlu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ahmet Davutoğlu (amezaliwa 26 Februari 1959) ni msomi, mwanasiasa na mwanadiplomasia wa zamani wa Uturuki ambaye aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa 26 wa Uturuki na Kiongozi wa Chama cha Haki na Maendeleo (AKP) kutoka mwaka 2014 hadi 2016.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ahmet Davutoğlu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.