Nenda kwa yaliyomo

Aguascalientes, Aguascalientes

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu za Mji wa Aguascalientes, Aguascalientes



Jiji la Aguascalientes
Nchi Mexiko
Jimbo Aguascalientes
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 663,671
Tovuti:  / www.ags.gob.mx

Aguascalientes ni mji mkuu na mji mkubwa katika jimbo la Aguascalientes. Jina ni ya Kihispania, maana yake ni maji moto. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, mji una wakazi wapatao 663,671 wanaoishi katika mji huu. Uneo lake ni 385 km².

Mji upo m 1888 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Mji uko pande zote mbili za mto Aguascalientes.

Mji ulianzishwa na Juan de Montoro mwaka 1575.



Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Aguascalientes, Aguascalientes kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.