Agnes Nandutu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Agnes Nandutu
Amezaliwa
Uganda
Nchi Uganda
Kazi yake Mwandishi wa habati

Agnes Nandutu ni mwandishi wa habari na mwanasiasa wa kike kutoka nchini Uganda.[1] Mnamo mwaka 2020 alishiriki kwenye kura ya mchujo wa Chama cha Upinzani cha Kitaifa[2] ambapo alishindwa na mbunge wa Kike wa sasa Justin Khainza,[3][4] na katika uchaguzi mkuu wa Uganda mwaka mnamo 2021 akiwania kama huru, alichaguliwa kuwa Mwakilishi wa Wanawake wa Wilaya ya Bududa[5][6][7][8]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Agnes Nandutu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.