Agnès Callamard

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Callamard mwaka 2019

Agnès Callamard ni msimamizi wa haki za binadamu nchini Ufaransa ambaye ni Katibu Mkuu wa Amnesty International.[1] Hapo awali alikuwa ripota maalumu juu ya hukumu au mauaji ya kiholela aliyeteuliwa na Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa. [2] Yeye pia ni Mkurugenzi wa mradi wa Chuo Kikuu cha Columbia kuhusu uhuru wa kujieleza ulimwenguni.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Agnès Callamard kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.