Agence Nationale de l'Aviation Civile et de la Météorologie
Mandhari

Agence Nationale de l'Aviation Civile et de la Météorologie de l'Union des Comores al maruf kama (ANACM) National Civil Aviation and Meteorological Agency ni mamlaka ya asasi ya anga ya Komori. Pia ndiyo inasimamia uchunguzi wa ajali za ndege na matukio mengine. Ofisi zake kuu ziko Moroni.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Agence Nationale de l'Aviation Civile et de la Météorologie Ilihifadhiwa 30 Julai 2012 kwenye Wayback Machine. (Kifaransa)