Afrikanaizesheni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Afrikanaizesheni (kutoka Kiingereza: "Africanization") ni sera ya kuwapa Waafrika kazi za madaraka kwa kuwaondoa wageni wakati nchi za Afrika zilipokuwa zikipata uhuru.