Afrigo Band

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Afrigo Band
Nchi Uganda
Kazi yake Kundi la Muziki


Afrigo Band, ni bendi ya muziki nchini Uganda, ni kundi la muziki lililodumu kwa muda mrefu zaidi katika historia ya Uganda, lililokuwepo kwa miaka 44 ifikapo Agosti 2019.[1][2][3][4]


Historia[hariri | hariri chanzo]

Bendi hii iliundwa na kundi la wanamuziki wanane wakiongozwa na kiongozi wao wa bendi, mwimbaji, na mpiga saxophone wa alto, Moses Matovu,[5] ambaye aliendelea kuongoza bendi hiyo mpaka kwenye kumbukumbu ya bendi hiyo ya miaka 38[6]. Walicheza na mashabiki wao nyumbani nchini Uganda, kundi hili husafiri mara kwa mara huko Ulaya na Marekani kwenda kufanya maonyesho kwa Waganda katika ya Diaspora. Hii ndio orodha ya waanzilishi wa bendi hiyo.

  • Moses Matovu
  • Charles Ssekyanzi
  • Jeff Sewava
  • Paddy Nsubuga
  • Paulo Serumagga
  • Fred Luyombya
  • Anthony Kyeyune
  • Geoffrey Kizito

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Celebrating Afrigo Band (31 August 2013). Jalada kutoka ya awali juu ya 2015-02-02. Iliwekwa mnamo 2 February 2015.
  2. Ssemutooke, Joseph (October 2012). Afrigo: Uganda's Greatest Band. Jalada kutoka ya awali juu ya 25 December 2014. Iliwekwa mnamo 2 February 2015.
  3. Hits That Made Them: Moses Matovu And Afrigo Band. Hipipo.com (26 August 2011). Jalada kutoka ya awali juu ya 2014-12-25. Iliwekwa mnamo 2 February 2015.
  4. Musinguzi, Bamuturaki (12 September 2013). Kampala's Most Resilient Band Afrigo Plays On. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-11-16. Iliwekwa mnamo 2 February 2015.
  5. https://www.monitor.co.ug/artsculture/Entertainment/Afrigo-Band-s-38-years-relived-in-one-night/-/812796/1977382/-/w47ahnz/-/index.html
  6. Afrigo: Uganda’s greatest band. web.archive.org (2014-12-25). Jalada kutoka ya awali juu ya 2014-12-25. Iliwekwa mnamo 2023-02-26.
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Afrigo Band kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.