Afram

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mto Afram unaonganika na Ziwa la Volta
Mto Afram unaonganika na Ziwa la Volta
kusini mwa Ghan na Afram(kati)
kusini mwa Ghan na Afram(kati)

Mto Afram ni mto wa nchini Ghana wenye urefu wa kilomita 100. Kabla ya ujenzi wa bwawa la Akosombo katika miaka ya 1960, Afram ilikua ni kijito kikuu cha Mto Volta na leo ni mkondo muhimu sawa na Ziwa Volta .

Mto unapita katika mwelekeo wa kusini magharibi. Unakusanya mifereji yote ya maji ya Uwanda wa Kwahu . [1]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Afram Kwawu. Accessed August 3, 2012.