Nenda kwa yaliyomo

Adekunle Gold

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Adekunle Almoruf Kosoko (aliyezaliwa 28 Januari 1987), anayejulikana kitaaluma kama Adekunle Gold au AG Baby, ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo wa kiafrika kutoka Nigeria kwa sasa aliyesainiwa katika lebo ya Def Jam Recordings.[1][2]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Adekunle Gold kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.