Ade Akinbiyi
Mandhari
.
Adeola Oluwatoyin Akinbiyi (alizaliwa 10 Oktoba 1974) ni mkufunzi wa kandanda na mchezaji wa zamani wa kulipwa wa Nigeria. [1]
Ushiriki Katika Klabu
[hariri | hariri chanzo]Akinbiyi alianza uchezaji wake kama mkufunzi katika klabu ya Norwich City, ambapo aliingia kwenye kikosi cha kwanza mnamo 1992.[2]
Maisha Binafsi
[hariri | hariri chanzo]kinbiyi alifanya kazi kama mshauri katika chuo cha michezo kwa kiasi kikubwa nchini Nigeria na Ghana.
Heshima
[hariri | hariri chanzo]Burnley Mchujo wa kuwania Ubingwa wa Ligi ya Soka: 2009.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Notts County swoop for Akinbiyi", BBC Sport, 26 September 2009.
- ↑ Winter, Henry. "On the Spot: Ade Akinbiyi", Daily Telegraph, 2 November 2001.
- ↑ "Akinbiyi and Dyer move to Blades", BBC Sport, 26 January 2006.
Viungo Vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Ade Akinbiyi katika Soccerbase
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ade Akinbiyi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |