Adama Niane

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Adama Niane
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaMali Hariri
Jina halisiAdama Hariri
Jina la familiaNiane Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa16 Juni 1993 Hariri
Mahali alipozaliwaBamako Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKifaransa Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timuforward Hariri
Muda wa kazi2012 Hariri
Mwanachama wa timu ya michezoF.C. Nantes, Mali national under-20 football team, ES Troyes AC, R. Charleroi S.C., Mali national football team Hariri
MchezoMpira wa miguu Hariri
Ameshiriki2019 Africa Cup of Nations Hariri

Adama Niane (alizaliwa 16 Juni 1993) ni mchezaji wa soka wa Mali ambaye anacheza katika klabu ya Charleroi.Adama amewakilisha Mali katika ngazi ya kimataifa.

Club Olympique de Bamako[hariri | hariri chanzo]

Alizaliwa Bamako, Niane alianza kazi yake katika klabu ya Olympique, alijiunga na klabu hiyo kama mchezaji wa vijana mwaka 2003.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Adama Niane kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.