Achola Rosario
Achola Rosario | |
Amezaliwa | 28 Oktoba 1978 Uganda |
---|---|
Nchi | Uganda |
Majina mengine | Achola Rosario |
Kazi yake | mtengeneza filamu |
Achola Rosario (alizaliwa 28 Oktoba 1978) ni msanii kutokea nchini Uganda[1] na mtoa ripoti.[2][3] Rosario anatumia sanaa yake, mashairi, na mtindo wa maisha usio wa kawaida kuendesha harakati zake kwenye mada kama siasa, mapenzi, ngono, na usawa wa nguvu kati ya walio nacho na wasio nacho.
[4] Achola pia aliandika nakala kwajili ya uhuru.[5] Yeye pia ni mshindi wa tuzo ya ujasiriamali.[6]
Historia[hariri | hariri chanzo]
Hivi sasa ni mtengeneza filamu na mtayarishaji wa FOMO (Fear of missing out) kipindi cha safari, Achola Rosario ameanza kazi hii kwa namna isiyo ya kawaida. kutokana na Rosario kutokea South Planet, lakini ametokea kwenye familia ya kitamaduni wanayotoa mitishamba, madaktari na watafsiri ndoto, ambapo imemplekea kufanya anacho kifanya hivi sasa.[7]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ start. Rosario Achola Archives (en-US).
- ↑ Achola Rosario (en-EN).
- ↑ Lyons, Alex. History In Progress Uganda (en-GB).
- ↑ Achola Rosario…the silent activist (en). Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-06-23. Iliwekwa mnamo 2021-05-29.
- ↑ Achola Rosario Archives (en-US).
- ↑ Aviation (2020-05-25). [https://web.archive.org/web/20210602212157/https://atcnews.org/2020/05/25/meet-atcnews-latest-media-partner-rosario-achola-of-abyssinian-ronin-production-haus/ Meet ATCNew s’ latest media partner – Rosario Achola of Abyssinian Ronin Production Haus] (en-US). Jalada kutoka ya awali juu ya 2021-06-02. Iliwekwa mnamo 2021-05-29.
- ↑ Cultures-Uganda | Achola Rosario.
![]() |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Achola Rosario kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |