Abubakar Asenga
Mandhari
(Elekezwa kutoka Abubakari Asenga)
Abubakar Damian Asenga (amezaliwa 13 Juni 1983), ni mwanasiasa wa Tanzania. Kwa sasa anahudumu kama mbunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika jimbo la Kilombero tangu Novemba 2020.[1][2] Asenga alikuwa katibu tawala wa wilaya (DAS) ya Rombo, mkoa wa Kilimanjaro.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Member of Parliament Profile". Parliament of Tanzania. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-03-23. Iliwekwa mnamo 2024-09-18.
- ↑ "Mbunge atoa kontena kumi za lami bandarini". YouTube. 27 Desemba 2020.
- ↑ "govt-working-improve-communication-services-rural-areas". IPP Media.
| Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Abubakar Asenga kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |